Dawa ya mafua sugu

Kuna hii dawa ya asili nilipewa ushauri nikaijaribu an it worked "tafuta mavi ya ng'ombe yalio kauka uyachome ule moshi auvute puani" for sure its a medicine
 
Hiyo dawa ya mavi ya ngombe haingii akilini
 
Habari zenu ndugu zangu! Nna mtoto wa miez minne sasa anasumbuliwa na mafua tangia ana cku moja! Nlienda kwa specialist wa watoto akaniambia ni hali itapita tu! Lkn anabanwa hasa ucku na anapiga chafya! Baada ya mda nkarudi tena hosp same dr.akanipa dawa ya matone nimuuekee puani! Lkn mpaka sasa bado yanamsumbua! Na sasaiv anakohoa pia! Nisaidien jaman naogopaa
 
Habari wana JF.
Naomba kujuzwa dawa ya kutibu mafua ya muda mrefu. Ni tatizo linalonisumbua sana kila mara mi mafua tu.
Karibuni.
 
Anaejua njia rahisi ya kutibu mafua bila kutumia antibiotics au mitishamba naomba anijulishe maana nahisi kufakufa
 
Hapo chagua moja.... vitunguu au mafua.

Kama vipi katakata vitunguu, weka kwenye kisosi pembeni ya kitanda. Lala.

Asubuhi usiponiambia ahsante babu yangu mpenzi ntajua huna shukrani.
Asante babu mpenzi. nikate vingi au kidogo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…