Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Majipu:
Saga kitunguu maji na kikange katika mafuta ya zaituni bila ya kuwa rangi ya manjano, paka kama marhamu na funga bendeji juu yake. Kila siku ukibadilisha pamoja na kusafisha utokaji wa usaha umalizike, halafu utakuwa ukitumia habat-sawda........................ Saharavoice
tumia antibiotic esp. Penicilline
Taja umri wao.
Wakuu heshima kwenu,
Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.
Wakuu heshima kwenu,
Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.
Mkuu Habat sawda inapatikana sokoni Kariakoo kama wewe upo jijini Dares-Salaam nenda hapo Sokoni kariakoo Mtaa wa Nyamwezi au Mtaa wa Pemba kaulize kwenye maduka ya Madawa za Kiarabu Wapemba ndio wanaouza hapo au kama unaye jirani Muarabu muulizie atakupatia au angalia Picha yake hii hapa ........................................ SaharavoiceShukrani MziziMkavu, nitawapa maelekezo, but hii habat Sawda ni nini?
Amina Thomas, Nashukuru, lakini haya ma antibiotic wameyatumia sana mpaka basi