Dawa ya mba

Dawa ya mba

lelo1

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
583
Reaction score
481
Asalaam..
Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani??
 
Nawa kichwa kwa maji na sabuni kausha maji halafu chukua dettol ya maji jipake kichwa chote kama ni jioni lala bila kunawa hadi asubuhi fanya hivyo kwa wiki halafu leta mrejesho.
 
Asalaam..
Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani??

Pakaa mafuta ya asili ya nazi. Hakika hakuna dawa nzuri ya mba au tatizo lolote la ngozi kama mafuta asili ya nazi.

Kama utayahitaji na huwezi kujitengenezea mwenyewe basi nitafute kwenye whatsapp kwa namba hii +255769142586
 
Nitakupa dawa ya mba safi yenye uhakika na safi.

Usipopona baada ya wiki moja ya matumizi nakurudishia pesa yako!

Kila la kheri!
 
Asalaam..
Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani??

Ninayo dawa makini kabisa, utatumia kwa wiki moja usipopona ndani ya wiki nakurudishia pesa yako!
 
Dawa ni usafi tu, mengine yote ya kina MziziMkavu WATAKULIA PESA YAKO TU.
 
Back
Top Bottom