Dawa ya Mbu inahitaji

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Kama kichwa cha habari kijielezavyo naombeni msaada wa dawa ya mbu kuna mtaa nimeingia kama wiki mbili zilizopita hapa Tanga yaani natamani kutoa damu kwa hiari niwape kuliko hiki nachofanyiwa na hawa wadudu.

Nipo nje natafakari namna ya kulala, Msaada tafadhali.

NB: Chandarua hakuna
 
Maombi mkuu yanaitajika hao mbuu wasepa wote
 
Mbona wk 2 nyingi sana hukuona tatizo tangu mwanzo ukatafuta dawa mchana
 
Mbu unaweza hisi wametumwa na wizara ya damu salama
 
Kuna dawa unachomeka kwnye socket inakaa masaa 400 na zaid ....4500 tu.. Mbu hasogei ndani itafute ama nunua ile ya kuchoma y vipakti nayo nzur san mbu,mende n.k wote wanakufa
 
Tatizo lako unalala peke yako ndo maana unasikia mbu, najaribu kuimajini kama ungekuwa na shemeji ungetuletea uzi matata.
 
Kuna dawa unachomeka kwnye socket inakaa masaa 400 na zaid ....4500 tu.. Mbu hasogei ndani itafute ama nunua ile ya kuchoma y vipakti nayo nzur san mbu,mende n.k wote wanakufa
Leo nitalala nao mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…