Dawa ya mbu ya asili ya kupambana na maleria

josepher

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
70
Reaction score
14
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri isiyokuwa na kero, ambapo husababisha mbu kuikimbia harufu hiyo. Unaweza kuacha mlango wazi na mbu hukimbia kwenda nje, na walio nje hawewezi kuingia ndani kutokana na perfume inayotoka kwenye dawa hii. Kumbuka kuwa mbu huingia ndani kwa wingi mida ya jioni giza linapoanza na asubuhi kunapoanza kupambazuka, muda huo kama utakuwa umewasha dawa, hata ukifungua milango mbu hawataingia ndani. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili.
Machine pamoja na dawa Tsh 25,000/=. Dawa (liquid) peke yake Tsh 10,000
0755-522018.sabuni bei yake ni 5000/=.sabuni hii haina madhara hata kwa mtoto mchanga imetengenezwa kwa miti shamba
Sabuni nzuri sana kwa ajili ya kufukuza mbu, ukiitumia kwa kuoga inaacha harufu mwilini ambayo mbu huikimbia harufu hiyo. Sabuni hii pia ni nzuri kwa ngozi, pimples na mabaka/madoa kwenye ngozi huondoka. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili. Mtoto mdogo anaweza kuitumia sabuni hii. Familia yangu tunatumia sabuni hii.
Kwa anayetaka kuwa supplier au kununua kwa bei ya jumla naomba tuwasiliane pia.
0755-522018
 

Attachments

  • 1150187_369631219830913_1708758797_n.png
    183.8 KB · Views: 198
  • 1151019_367214846739217_1387855732_n.jpg
    58.1 KB · Views: 151
Asante kwa taarifa. Sasa tuwekee udhibitisho toka TFDA. Asante
 
Miti shamba ni neno pana sana, hebu weka na side effects kama zipo!!!!

Vipi kama nina asthma kwa mfano
 
Mbona hukututaarifu kama haifanyi kazi?tunaomba uturudishie ile liquid tukubadilishie lakini hatujawahi kulalamikiwa wewe ndo wa kwanza
 
nipo sijakimbia ni majukumu yalinibana nikashindwa kuingia humu,liquid inakaa miezi miwili hadi mitatu kutegemeana na matumizi
 
zimetengenezwa kwa mimea hazina side effect ndio maana haziui mbu bali zina fukuza.Kama una asthma haitakudhuru,pia ututembelee kuhusiana na Asthma utapata ushauri bure na jinsi ya kutibu tatizo la Asthma pia
 

Hee hee hee!! Kama hii kasi ya watanzania kuvumbua dawa itaendelea kwa kasi namna hii basi baada ya miaka kumi hakuna mtanzania atayesumbuka tena kwenda India kutibiwa. Siku hizi kila kukicha kuna ugunduzi mpya. Inaelekea watanzania ukiwaambia ukweli hawaamini lakini ukiwaambia uongo wanakupenda. Jana tena nimeona kibao cha mganga wa kienyeji anatangaza uwezo wake: 1. Kuwa na akili darasani 2. Kupata fedha za majini 3. Mafaniakio ndani ya siku moja......Watch-out mtanzania: Wajinga ndio waliwao.
 
Nijuavyo mimi, asili ya miti yote ni shamba. Sasa mitishamba ni ipi na isiyo mitishamba ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…