Leo mwisho kutumia WD nimeshatibu fizi mara mbili sikujua nini tatizo nashukuru jf kwa kunifungua macho
Marire, sio WD pekee siku zote unapokwenda kununua dawa ya Meno tazama boksi lake soma maelekezo na kama ukikuta Warning ya USIMEZE achana nayo I recommend FOREVER BRIGHT TOOTHGEL hii hapa...tumia hii dawa na pia ni dawa ya tumbo kama linakusumbua unaweza meza, pia ni huduma ya kwanza nyumbani kama kuna mtu ameungua na maji ya moto unampaka...
View attachment 66228
Mara nyingi huwa naogopa sana vitu vya bei rahisi. Imagine WD 250g bei ni 2000tshs (variable) na Colgate 100g bei ni ths 2500 (variable). Kwa vyovyote vile ubora lazima utofautiane sana tu!!!!