Dawa ya meno

Dawa ya meno

nginaeli

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
22
Reaction score
5
Naumwa sana meno jamani na hii baridi ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa please ushauri wa dawa tafadhali.
 
Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana.

Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
 
naumwa sana meno jamani na hii barid ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa plz ushauri wa dawa tafadhali

limetoboka?kesho tafuta unga wa karafuu weka kwenye jino lilitoboka litatulia.uko mkoa gani? kuna mtaalam wa tiba asili, aliniponya jino toka 2009 nipo chuo mpaka leo
 
Back
Top Bottom