N nginaeli Member Joined Aug 31, 2013 Posts 22 Reaction score 5 Apr 13, 2014 #1 Naumwa sana meno jamani na hii baridi ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa please ushauri wa dawa tafadhali.
Naumwa sana meno jamani na hii baridi ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa please ushauri wa dawa tafadhali.
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,165 Reaction score 1,906 Apr 13, 2014 #2 Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana. Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana. Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Apr 13, 2014 #3 nginaeli said: naumwa sana meno jamani na hii barid ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa plz ushauri wa dawa tafadhali Click to expand... limetoboka?kesho tafuta unga wa karafuu weka kwenye jino lilitoboka litatulia.uko mkoa gani? kuna mtaalam wa tiba asili, aliniponya jino toka 2009 nipo chuo mpaka leo
nginaeli said: naumwa sana meno jamani na hii barid ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa plz ushauri wa dawa tafadhali Click to expand... limetoboka?kesho tafuta unga wa karafuu weka kwenye jino lilitoboka litatulia.uko mkoa gani? kuna mtaalam wa tiba asili, aliniponya jino toka 2009 nipo chuo mpaka leo