KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
pia mouthwash lkini si unajua nyingi feki basi kuwa na uhakika tumia maji ya vuguvugu weka chumvi ni kinga tosha kusukutulia asubuhi na jioni na kila unapomaliza kula especialy kila unapokula vitu vya sukari.usisahau kuona dentist piaMkuu, mimi pia ni mwathirika wa teeth sensitivity, na ninatumia sensodyne siku zote. Sipati shida as long as naendelea na dawa hiyo.
Nadhani tatizo hili ukishalipata ni vigumu likatoweka kabisa.
Hivyo dawa ya meno aina ya sensodyne (na jamii zake) inabidi ukubali kuitumia siku zote na uachane kabisa na dawa za meno za kawaida.
Pole sana ndugu. chukua majani machanga ya mwarobaini, changanya chumvi na yakaushie ndani pasipo na jua. yakikauka kabisa saga na tumia kupigia mswaki. waweza changanya na dawa ya mswaki sio vibaya. (Tahadhari; usipende kuuma vitu vigumu kwa kutumia meno yako, ama kufungulia vitu!!Wakuu nina tatizo la meno kushindwa kula vitu vya baridi au vya moto.
Nimejaribu kutumia sensodyne za aina nyingi, Aloe, whitedent harbour sijui,,lakini sina afadhali, kwani ninapotumia na kuwa fresh, lakini nikiacha kwa siku mbili tu,tatizo linajirudia.
Naombeni mwenye dawa mbadala anishauri.
thanx nitajaribu kwani naona colgate nyingi ni feki sana hapa kwetu yani shida hii sensodyne ni ya nchi gani