Dawa ya Metakelfin imemgeuza Mtanzania huyu kua Albino

Dr MziziMkavu unaiongeleaje hili?
Dawa za kizungu (Drug)

tuwe waangalifu katika kutumia hizo dawa na Ma-Daktari wetu wasifanya Biashara na wauza

Madawa. Huku Ughaibuni utakuta Kampuni za kutengeneza Madawa zinafanya Biashara na Ma-

Daktari utakuta mwenye Hiyo Kampuni akisha tengeneza Dawa anaonana na Ma-Daktari wakuu

(Wakurugenzi wa Wizara ya Afya na Ma-Hospitali) na kupeleka Dawa yake sokoni na kuwapa Ma-Daktari waitumie

kwa ajili ya Binadamu hata kama ina madhara basi itapasishwa na wanaohusika . Ushauri

wangu Ma-Daktari wawe na huruma na Wagonjwa wao sio kila mara kumuandikia Mgonjwa

dawa ambayo itamuletea madhara .


 
mamaa pole ykemaana ameingia kwenye life ngumu zaii di ya kakatwa katwa mapanga
 
Inasikitisha kwa kweli, maana huko ameingia kwenye maisha ya mashaka kutokana na ulemavu alioupata. Mungu amlinde na amtie nguvu ya kusonga mbele na maisha.
 

Wakuu, badala ya kutoa pole tu kwa nini wizara ya afya na ile ofisi ya Chenge ya Zamani isimsaidie ndugu huyu kuidai fidia hiyo kampuni ya metakelfin kokote waliko? Serikali ni rahisi kudeal na ishu kama hizi kuliko watu binafsi.
 
dawa kama hizo zenye sulphur husababisha condition inaitwa steven johnson syndrome kwa wenye allerg. hapo ngozi ya nje na ndani huachana na si albinism. lakini inawezekana cells zake za kutengeneza melanin (melanocytes) ziliathiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…