Dawa ya mgongo kuwaka moto

Shekel Empire

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
27
Reaction score
11
Jamani naomba kwa yeyote anayejua tatizo hili anisaidie,mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo basi mgongo huwa unakuwa kama unawaka moto maeneo ya karibu na kiuno;hali hii huwa inanifanya nikose raha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…