Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Fangasi ni ugonjwa unaowasumbua wanawake wengi duniani. Asilimia kubwa wanatibu lakini ugonjwa hurudi mara kwa mara. Fangasi kiasili aina ya Candida Alibican huishi ukeni bila kusababisha madhara ukeni. Fangasi zina mbegu ambazo zikiota kwa wingi kwenye kuta za uke huanza kuzaliana, kukua na kuongezeka. Hapo huanza kusababisha magonjwa yafuatayo:
-Vaginal condidiasis
-Vulvo vaginal candidiasis
-Gental candidiasis
Dalili za fangasi.
Moja ya dalili kubwa ya fanasi ni;
i)Muwasho ukeni
ii)Kutoka uchafu wenye rangi nyeupe
iii)Kuvimba uke
iv)Maumivu wakati wa kufanya mapenzi
Sababu zinazo sababisha fangasi Ukeni.
i)Ujauzito -Kutoka na mabadiliko ya mwili
ii)Wanaotumia madawa ambazo hupunguza kinga ya mwili
iii)Hedhi -Kutokujisfisha vizuri
Kama unasumbuliwa wasiliana nami PM upate dawa.
-Vaginal condidiasis
-Vulvo vaginal candidiasis
-Gental candidiasis
Dalili za fangasi.
Moja ya dalili kubwa ya fanasi ni;
i)Muwasho ukeni
ii)Kutoka uchafu wenye rangi nyeupe
iii)Kuvimba uke
iv)Maumivu wakati wa kufanya mapenzi
Sababu zinazo sababisha fangasi Ukeni.
i)Ujauzito -Kutoka na mabadiliko ya mwili
ii)Wanaotumia madawa ambazo hupunguza kinga ya mwili
iii)Hedhi -Kutokujisfisha vizuri
Kama unasumbuliwa wasiliana nami PM upate dawa.