Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 May 26, 2011 #41 Duh!! Kumbeee!! Asee!!!
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 May 26, 2011 #42 Speaker said: sidanganyikiiiiii Click to expand... hahahahahah lol nilidhani umelala dahh kumbe bado uko macho (acha kunikanyaga kanyaga basi dahhh) hahahah lol
Speaker said: sidanganyikiiiiii Click to expand... hahahahahah lol nilidhani umelala dahh kumbe bado uko macho (acha kunikanyaga kanyaga basi dahhh) hahahah lol
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 May 26, 2011 #43 Magulumangu said: Huyo kweli anajua maana ya ndoa au? Click to expand... Nadhani hilo neno (NDOA) anasikilizia tu kwenye Bongo radio lol
Magulumangu said: Huyo kweli anajua maana ya ndoa au? Click to expand... Nadhani hilo neno (NDOA) anasikilizia tu kwenye Bongo radio lol
Sumba-Wanga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 5,353 Reaction score 1,234 May 26, 2011 #44 Huna haja ya kwenda kote huko, ndio shida na raha! Ongea naye hadi abadilike. Kubadilisha dini na kuona mke mwingine ni mateso makubwa! Ikitokea bahati mbaya ukafa kabla ya kurudi kundini?
Huna haja ya kwenda kote huko, ndio shida na raha! Ongea naye hadi abadilike. Kubadilisha dini na kuona mke mwingine ni mateso makubwa! Ikitokea bahati mbaya ukafa kabla ya kurudi kundini?