Dawa ya Mke msumbufu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani
 
Mkuu hapo ni ng'alu kwa ng'alu na ww anakupandisha kuwa mme mkubwa.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
....Mkuu, unaweza ukampandisha cheo halafu sasa ndio akawa jeuri zaidi na kutumia 'Cheo' chake vibaya!
Umeliwaza hilo??
 
....Mkuu, unaweza ukampandisha cheo halafu sasa ndio akawa jeuri zaidi na kutumia 'Cheo' chake vibaya!
Umeliwaza hilo??
Usijali hilo, we mpandishe cheo, akizidisha muongeze cheo kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…