Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
- Thread starter
-
- #21
Dawa nzuri tatizo akiwa kwenye siku zake (bleeding) siju utafanyaje kumuondoa hasira !!!
Kumbe ndo hivyo?
Dawa nzuri tatizo akiwa kwenye siku zake (bleeding) sijui utafanyaje kumuondoa hasira !!!
Naogopa kutoa mchango wangu!Nwy hongera kwakupata jinsi ya kutuliza hasira za mkeo...ila kwa mtu anaehisi amecheat na bado akakubali?Hongera sana!
Napenda sana kusoma vipande vyako Lizzy huwa unatulia nakutafakari ndo unajibu hata ukijibu kwaukali lakini huwa ni kisu. hata mimi nilifkiri inawezekana kweli maana hiyo ni nusu fumanizi halafu jamaa anatufix kalamzigo, wee acha wewee basi mkeo kachanjiwa ya fisi maji ukimgusa tu unakula.
kichwangumu umeuwasha moto,wabeijing watakuandama hapa,hujamtendea haki my wyf wako
Yaani ili methodology iwe objective and systematic, alilazimika kuwakorofisha subjects hao (wadada) kwa namna inayofanana na kiwango sawa katika mazingira sawa.
Kisha baada ya kuwakorofisha akitakiwa a-test hiyo tiba yake kwa wote, katika mazingira sawa, kwa kiwango sawa, na kwa utamu sawa. Akitakiwa arekodi matokeo kwa namna inayofanana.
Ethical clearence ya utafiti kama huu inatolewa na WHO makao makuu.
Hi members!
nimefanya utafiti kidogo uliojumuisha wasichana na wanawake kumi ninaofanyanao kazi na mke wangu nyumbani nimegundu kuwa mke wako akiwa amekasilika mpaka mkashindwa kuelewana jaribu kum-bembeleza kadri uwezavyo ufanye nae mapenzi na ukibahatika kufanyae liwe penzi la ukweli ukimaliza hapo hasira zake zote zimeisha atabaki kukwambia usirudie tena ulichofanya.
jana nilihitimisha utafiti wangu baada ya kutoelewana na mke wangu kwa sababu alikuwa na habari ambazo alikuwa na uhakika nazo kwa 70% kuwa nainauhusiano na mwanamke mwingine; kiukweli taarifa hizo ni kweli ingawa sijawahi kufanya mapenzi na huyo mwanamke.
chumbani kulikuwa hakukaliki mke wangu alikuwa ananipiga na huku akimpigia simu mwanamke huyo ambae nahisiwa nae, mbaya zaidi mwanamke huyo alikuwa anasema habari hizo ni za kweli na kumtajia mida tunayokutana na mahaba tunayo peana ingawa kiukweli havikuwa vitu vya ukweli.
nilimwacha mke wangu anipige na baadae nikambembeleza na nikamtaka mapenzi akasita sita na baadae akanipa baada ya kale kamchezo katamu tulipiga stori safi, kama siye yeye.
wana JF give your exp.
Dawa nzuri tatizo akiwa kwenye siku zake (bleeding) sijui utafanyaje kumuondoa hasira !!!
sasa hili balaa !!!!!!!!!!!!!!:hand:kwan zinatoka pande zote mbili?

huo ndo unafki wenyewe yani umemponda kwa kuanika mambo ya chumbani humu then untaka aendelee kusimulia ilikau hebu acha ushankupe we bibimh nyie ndo wale wanaume mnahitaji kitchen party nini kuanika mambo ya chumbani na mkeo humu heeeeeeeeeeee na baada ake ilikuwaje hujamalizia story,