Wapendwa poleni kwa majukum nina Ndugu yangu ana watoto mapacha wakiume na wakike huyo wakiume yuko fit Alhamdulillah ila nahuyu wakike alizaliwa na matatizo yamoyo kwa sasa wana mwaka na miez 7
Huyu mtoto mwanzon walisema Moyo unatundu..mara Moyo umejaa maji mara Moyo mkubwa yaan kila akipimwa yanakuja mapya siku hadi siku
Ameshatumia dawa nyingi saana mpaka anatia huruma za kizungu na mitishamba lakn hakuna unafuu wowote mpaka sasa
Kwayoyote mtaalam huu ya Moyo tafadhali msaada wako muhimu sana,,,,,,,cc MziziMkavu na wataalam wengine wa afya
Ahsanteni

Last edited by a moderator: