Dawa ya mpenzi asiyekupenda hii

Aksante sana kwa habari hii ila mh mbona kama hizi principle zitanifanya nionekane kama sijiamini? Kama hiyo ya red hapo juu, kwa nini niamini kuwa iko siku ataniacha/tutaachana?? si kumwonyesha kuwa sina confidence kama mimi ndie chaguo lake halisi? Cha muhimu ni kuwa firm kwenye maamuzi yako, mfano akikubore kumweleza kinagaubaga na hata akisema mnaachana mwonyeshe kuwa unakubaliana naye kwani its the best decision kwani hata wewe ulishaona hakufai!
 
one thing
kama uko so frustrated na your love life ni bora ukakaa mbali na pc lol
 
kumbe ndo maana juzi nikaambiwa ameota nageuka nyoka kila anapotaka kubusu!.bila shaka alikua kasoma kitabu chako.
yaani ashindwe na alegee atetemeke aanguke chini.mia
 
Wewe The only umeyaona wapi hayo? Kama hakupendi ndiyo imekuwa bahati mbaya imekula kwako lakini kujipendekeza na kujidhalilisha ndiyo unazidi kumchefua.

Bora kama unaona hakuna upendo ufunge virago uende zako pole pole kwani Mungu si Athumani atakupatia anaekupenda.
 
hahahaaa...!!sasa hiyo ya sura kugeuka nyoka si ni balaa!?.mpende akupendae asiyekupenda achana naye vinginevyo utakufa kwa presha.mia

hivi ile kesi yake na the only wife ilishaisha..
 
Hahahahaaaaaa ndoto za marehemu bibi tena,hii inastahili kuwa joke of the day tehe tehe tehe.
 
Duh hii tumefanya kitambo bado tukatoswa mkuu mapenzi hayana theory vipi isipofanya kazi kuna alternative???????/
 
kazinkweli kweli no comment
 
mnh inategemea mana ukikutana na si wengine ni manuuunda mbaya yani NYEUSI
 
Kichwa cha habari nacho utata, asiyekupenda anakuwaje mpenzi???? Kinyume cha kupenda ni.....! Ova!
 
Nini cheni na simu bana watu wamenunua magari,nyumba,kumuanzishia biashara na bado wameachwa,tukikwambia ukweli umeanza 'from a position of weakness' tayari umeshafeli 70 %.
Unahitaji ushauri wa kisaikojojia sio kuutoa.
 
hakupendi halafu bado uzidi kuingia hasara eti ununue cheni sijui simu, eehh!!!
haiji hiyo. anapotezewa tu.
 
Wizi mtupu' mmbongo hata umfanyie nini yeye haelewi'
 

Bebii hapo umenena, kuendelea kuwa nae mtu asiyekupenda ni kama kumbania mwenzio akose kuishi na ampendaye. Mwishowe aje akufanyie jambo ambalo utakuja usilisahau maishani mwako na pengine kupoteza miahsa au kuishia gerezani bure.
 
Dawa ya mpenzi asiyekupenda ni BANGI teh! teh! Atakuogopa hatafanya ushenzi, atakuwa makini sana!
 
..kama mtu humpendi hayo yote ya nini?aaaahahhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…