Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
Please soma hiyo article utapata mwanga! Nimeitoa humu JF. Pole aging population ndiyo shida yetu!wakuu heshima kwenu jamii Dr,naomba mnisaidie as per the subject.
Baba Yangu mzazi ana umri wa miaka 78 anasumbuliwa sana akienda ndogo,anaweza akasimama nusu Saa mkojo ukatoka kidoogoo.
Nimejaribu kuwauliza waungwana mbali mbali wameniambia that's mshipa Aka tezi dume,kwa kuwa mzee yupo kijijini na mimi nipo nae mbali kidoogo,naomba Wana jf doctors mnisaidie Kama kuna dawa naweza kumnunulia kupoza au kumaliza Kabisa hili tatizo,wakati tunajiandaa kumpeleka hospitali Kulwa for better treatments .
Asanteni.
Ok poa mkuu ngoja niisomePlease soma hiyo article utapata mwanga! Nimeitoa humu JF. Pole aging population ndiyo shida yetu!
Yes, this was an article by the same person you have called to interveneMziziMkavu Unahitajika huku kaka.
😛😛Yes, this was an article by the same person you have called to intervene
Have gone through the article ,to be honest I fact have seen some lights at the end of the turnel ..Asante sana mkuu that's why I brought the issue here,jf hakishindikani kitu.Yes, this was an article by the same person you have called to intervene
True, hapa hakishindiki kitu! Bado madaktari watakuja na jibu sahihi!Have gone through the article ,to be honest I fact have seen some lights at the end of the turnel ..Asante sana mkuu that's why I brought the issue here,jf hakishindikani kitu.
Thanks a lot
MATATIZO YA MKOJO: UCHAFU kutoka mwilini hutolewa nje ya mwili kwa mfumo wa mkojo, kinyesi, jasho kupitia kwenye ngozi. Ikiwa kutatokea kizuizi chochote cha kuzuia uchafu kutoka mwilini sumu ya uchafu huu baadae huchanganyikana na damu na kusababisha maradhi mbalimbali.Figo ni kiungo ambacho hutoa sumu mwilini kupitia njia ya mkojo. VIJIWE VYA KIBOFU CHA MKOJO (DYSURIA): Maradhi haya hutokea kwa kupatikana vijiwe kwenye kibofu cha mkojo. Vijiwe hivi huzuia mkojo kutoka vizuri na kufa yatoke matone matone.Wakuu heshima kwenu jamii Dr,
Naomba mnisaidie as per the subject. Baba yangu mzazi ana umri wa miaka 78 anasumbuliwa sana akienda haja ndogo, anaweza akasimama nusu saa mkojo ukatoka kidoogoo.
Nimejaribu kuwauliza waungwana mbalimbali wameniambia that's mshipa au tezi dume. Kwakuwa mzee yupo kijijini na mimi nipo nae mbali kidoogo, naomba Wana jf doctor mnisaidie kama kuna dawa naweza kumnunulia kupoza au kumaliza kabisa hili tatizo wakati tunajiandaa kumpeleka hospitali kubwa for better treatments.
Asanteni.