Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.
Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza kumwaga.
Pata vipande 5 vya kola chungu (Bitter Kola) na Tangawizi. Kata vipande vidogo na chemsha na maji.
Kunywa kikombe cha chai dakika 30 kabla ya mashindano.
Atakupiga marufuku ya Unahodha mke wako.