Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Anajuwa utashindwa kuzipata ili akupige pesa!Hio kolo chungu,sijawahi sikia Wala kuiona
Umekuja na ID Mpya kabisa 😁😁😁Kola chungu ndio nini?
😂😂😂 Akili mtu wangu.Anajuwa utashindwa kuzipata ili akupige pesa!
BungoKola chungu ndio nini?
Katafute mabungo porini, matunda ya nyani.....Kola chungu tunaipataje kuna mshangazi nauganda naweza kuwepo kwenye mirathi
Kola chungu tunaipataje kuna mshangazi nauganda naweza kuwepo kwenye mirathi
Hio kolo chungu,sijawahi sikia Wala kuiona
Kola chungu ndio nini?
Cola nyeup ni nini?
Hiyo ndio biashara yenyeweCOLA chungu ndo zipatikanazo wapi?
Bitter kola ni Nini mkuu?View attachment 3207920
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii.
Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza kumwaga.
Pata vipande 5 vya kola chungu (Bitter Kola) na Tangawizi. Kata vipande vidogo na chemsha na maji.
Kunywa kikombe cha chai dakika 30 kabla ya mashindano.
Atakupiga marufuku ya Unahodha mke wako.
Yamaa wameiganda hio kola kisa tu hawawezi kudindaHiyo ndio biashara yenyewe
Hilo ndio dhumuni la uzi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA