Wasoma sayansi ni mabingwa wa kukarili,hawana lolote zaidi ya ujinga wa kujidhania wanajua wakati wanaishi theory za wenzaoUsijitie umesoma sana? wala mkojo hauwezi kuwa projected! hiyo Advanced physics ulio-kalili isikufanye udharau kila mtu humu tena subtopic inakufanya uropoke mengi humu! be smart unapoongea na mtu usiyemfahamu!!!!!!
[emoji23] [emoji23]kuna mzee mmoja aliniambia eti enzi zao kijana akikojoa mkojo lazima umzidi kimo kuonyesha ulijari wake..vijana wa siku hizi mkojo hauzidi hata kiunoni..
hizi siori nyingine ni saundi tu..
Hawa ndo hata wakati wa kula wanatumia kanuni za physics eti unafumbua mdomo nyuzi 45 unapotafuna matunda ila nyama unafumbua nyuzi tisini,Sometimes tunazidisha machezo jamani.
Japokuwa mleta mada amechemka kwenye huo urefu wa mita 3, lakini sijaona sababu ya wewe kuanza kumponda kuwa alikimbia masomo ya sayansi.
Lakini pia ni shule gani hiyo ambayo ulitajiwa aina za projectile zote na distances zinazocover Pindi zikirushwa?
Tusitumie topics za pcm na pcb form 6 kukatisha tamaa wenzetu wanaoleta suluhu za matatizo yanayoisumbua jamii yetu.
Ahsante ulieanzisha jf, comment ya 2014 nacheka leo...Mtaalam mwenyewe bado anakibao cha Learner(L).
Vitunguu maji +Siagi +Asali = ____
Unavifanyaje sasa?
1-Kujichua navyo.
2-Kutafuna.
3-Kutwanga Kisha kumix kwenye
maji ya kuoga.
4-Kujifukiza.
Hebu nyoosha maelezo ueleweke mkuu!
Athari za kukimbia masomo ya science hazifichiki..Unaijua projectile yenye distance ya mita tatu wewe..?
Maziwa ya ng'ombe wa kienyeji kuyapata mjini shughuli yake pevu mkuu. Ya Hawa ng'ombe broiler hayafai kabisa?!Hapa kila kitu ni lazima kiwe fresh sio manufactured kutoka kiwandani! tunazungumzia siagi itokanayo na samuli ya maziwa ya ng'ombe! kama kabisa huwezi kuitengeneza chukua tu glass moja ya maziwa ya ng'ombe wa kienyeji weka kijiko kimoja cha asali koroga kunywa alafu chukua kipande cha kitunguu tafuna meza maji yake! mara mbili kwa siku ndani ya wiki moja njoo toa shukurani hapa jukwaani!