wembe mkali
Member
- Feb 1, 2017
- 31
- 31
Habari wanajamvi.
Kichwa cha habari kinajieleza. Moja ya mada za kitaifa zosizo rasmi na zinazo trend kwa kasi ni hii ya nguvu za kiume.
Nimejaribu kufuatilia matangazo yake promo zake na dawa hizo nimegundua yafuatayo.
1. Matapeli wanacheza na akili za wanaume
2. Nguvu za kiume ni janga kwa wengi
3. Dawa zinazotangazwa nyingi haziwasaidii watu.
Dawa ya kweli ya nguvu za kiume.
1. Mind set
2. Mazoezi
3. Vyakula vya asili hasa vya mizizi (mihogo, viazi vyote, majimbi nk) na vya kwenye maji (dagaa, samaki mbali mbali achana na promo za pweza pekee)
Wengi nimewasaidia vimewasaidia.
Karibuni.