Dawa ya nguvu za kiume

wembe mkali

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
31
Reaction score
31
Habari wanajamvi.

Kichwa cha habari kinajieleza. Moja ya mada za kitaifa zosizo rasmi na zinazo trend kwa kasi ni hii ya nguvu za kiume.

Nimejaribu kufuatilia matangazo yake promo zake na dawa hizo nimegundua yafuatayo.

1. Matapeli wanacheza na akili za wanaume
2. Nguvu za kiume ni janga kwa wengi
3. Dawa zinazotangazwa nyingi haziwasaidii watu.

Dawa ya kweli ya nguvu za kiume.
1. Mind set
2. Mazoezi
3. Vyakula vya asili hasa vya mizizi (mihogo, viazi vyote, majimbi nk) na vya kwenye maji (dagaa, samaki mbali mbali achana na promo za pweza pekee)

Wengi nimewasaidia vimewasaidia.

Karibuni.
 
Tendo ni nguvu na pumzi basi, nyingine ni porojo tu!
Tiba ni kufanya mazoezi,hata ya kukimbia umbali mrefu sio kubeba machuma ili kupata pumzi ya kufanya tendo muda mrefu na kwenda raundi nyingi.
Kula vyakula vya asili vyenye mafuta kidogo.
Pombe kiasi, na kwa wavutaji sigara wapunguze sana au waache kabisa..
Hiyo ndo tiba 100%.
 
kweli mkuu hamna njia nyingine
wapigaji wamekuwa wengi sana mitandaoni hasa
 
Dawa mi ninayo, nawaangalia tu mnavyohangaika
 
Upo sahihi kabisa mkuu 100%

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Dawa ni no 1

Sent from my Nokia 3310
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…