Dawa ya Nyongo nyingi

LAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
4,400
Reaction score
1,316
mwenye msaada wa kujua kinachosababisha nyongo kuwa nyingi na dawa ya kupunguza nyongo mwilini

huwa inatokea kuitapika asubuhi na hutoka nyingi sana

natanguliza shukrani
 
Sio malaria hiyo mkuu???
Nenda hospitali kwa tiba sahihi!!
 
Umeshaenda hospital?. Mbona unawahi kubisha tu!. Dokta angeweza kukupa ushauri mbadala kama atakuta hauna malaria. Vinginevyo hapo una ji shehe Yahaya tu.

mkuu, nimeshakwenda hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…