S slab Senior Member Joined Sep 12, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Aug 13, 2015 #1 Msaada wakuu, Dawa gani atumie mtu mwenye umri wa miaka 24 mwenye oral thrush?
K KAMANDA MKUBWA JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 288 Reaction score 78 Aug 13, 2015 #2 Aende hospitali. Kwa huduma ya kwanza atumie hydrogen peroxide mouthwash 3%, kisha aende hospitali, maana oral thrush inaweza kusababishwa na vitu vingi, pia inaweza kuwa dalili ya magojwa mengi ikiwemo saratani.
Aende hospitali. Kwa huduma ya kwanza atumie hydrogen peroxide mouthwash 3%, kisha aende hospitali, maana oral thrush inaweza kusababishwa na vitu vingi, pia inaweza kuwa dalili ya magojwa mengi ikiwemo saratani.