Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Habari zenu waungwana,Mie imenitokea kama wiki tatu sasa sikio langu kutosikia vizuri,Yaani linasikia ila ni kwa mbali sana,Nimeenda hospitali wamenipatia dawa aina ya Boric Acid lakini mpaka sasa hali sikio halijazibuka,Je nifanye nini ama nitumie njia gani ili sikio liweze kuzibuka na kuweza kusikia vizuri