Tetesi: Dawa ya sikio/Sikio kuziba

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu waungwana,Mie imenitokea kama wiki tatu sasa sikio langu kutosikia vizuri,Yaani linasikia ila ni kwa mbali sana,Nimeenda hospitali wamenipatia dawa aina ya Boric Acid lakini mpaka sasa hali sikio halijazibuka,Je nifanye nini ama nitumie njia gani ili sikio liweze kuzibuka na kuweza kusikia vizuri
 
Cheki pm mkuu
 
mimina Coca-Cola ndani ya sikio lako.
maumivu yakizidi muone daktari.
 

Vp umepona? Ulitumia dawa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…