Dawa ya sikio

bushman10

Senior Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
113
Reaction score
98
Ninaumwa sikio nimetumia dawa za hosipitali siponi, Naomba kujuzwa dawa za asili wana jamii.
 
Chemsha bangi kiac ikishapoa dondoshea matone mawili au matatu kutwa mara mbili kwa siku nne.utaleta mrejesho wa majibu
 
tafuta mafuta ya kuku, dondoshea asubuhi na jioni. chinja kuku aliyenona ndo utapata mafuta. kuku wa kienyeji ndo nina uhakika nao, wa kisasa sina uhakika ingawa kuku ni kuku tu. leta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…