Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
habari wanajamvi,nahitaji kujua ni dawa gani naweza kutumia baada ya kung'atwa na tandu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAK, uko sahihi sana!! kitu cha kwanza kuepuka hapo ni hofu! kwani inakuza hali ya ugonjwa wakati kiuhalisia hakuna tatizo la kina sana!!Sijui kama kuna dawa maalum, lakini usiwe na hofu sana hakutatokea chochote cha kutishia uhai wako, ila maumivu yakizidi kula vidonge vya kupunguza maumivu na kwenda hospitali haraka.
Preta namna ya kutengeneza hiyo dawa inakuwa kama jinsi ya kutengeneza Homeopathic Remedies ...huyu tandu si nimesikia kuwa sumu yake kukutoka ni mpaka umkamate umchome majivu yake ndo uweke kwenye kidonda.....?..mdudu namuogopa huyu.....