Dawa ya tatizo wakati wa mechi kali

Somoleo

Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
13
Reaction score
1
Please help.

Nina appointment na mtoto wa Kinyarwanda weekend hii. Je wapi naweza pata dawa VIAGRA au yoyote inayofanana na viagra ili kusaidia wakati wa penzi.
Kwani huwa napata tabu sana ninapokuwa naye kwenye 6 x 6; hivyo nahitaji msaada jamani! pia sijawahi kutumia (bali nasikia huwa inasaidia); je ina madhara???
 
:car::car::car: mmmmh ntachelewa😛lane:
 
Mkuu zina madhara dont use it hasa kama una magonjwa ya moyo, tumezika marafiki wengi wamefia kwenye mechi
 
Wengine tunatafuta dawa ya kupunguza!.ha ha haaa!
 
Kwa umri wako (inavoonekana hata huna mke) kama umeanza kutumia hizo dawa, pole...:sick:
 
Mie naenda bila hiyo vega tuzungumze km utahitaji msaada:msela:
 
usitumie Viagra ina madhara sana kama walivyosema wenzangu. Kunywa kahawa chungu kikombe kimoja nusu saa kabla ya mechi na ukipata chokoleti kula pia itakusaidia kupata nguvu za kuweza kucheza mechi yako vizuri.
 

Mkuu Viagra inaweza kukuletea madhara makubwa sana na hata kuweza kupoteza maisha. Hivyo ni bora kuviepuka kabisa au kama ni lazima utumie basi kwanza inabidi ukamuone Dr akupime afya yako ili kuona kwamba matumizi yake hayataathiri afya yako kwa namna moja au nyingine

 

Acha! Acha! Ndugu yangu napenda kukuasa kuwa matumizi ya dawa ya Viagra Yanaweza kukuletea matatizo. Hapa sina maana ya kuwa Viagra haisaidii, hapana! nina maana kuwa endapo una maradhi yasiodhahiri (Underline Cardiac disease) itachukua muda mfupi sana ugonjwa huo kukusaidia kupoteza maisha. Viagra ina ingiliana na mfumo wa Cardiac conduction unaoitwa AQTS,na endapo mfumo huo unalega lega ingawa hujui basi hapo ni msiba. Nalazimika kutumia maneno makali kwasababu tumeshashuhudia madhara haya na tuna proof za kitaalamu.
Pia kumbuka kuwa Viagra humsaidia mtu ambaye uwezo wake ni hafifu sana na si rijali anayetaka kukomoa mtu. Kama inabidi utumie hiyo dawa basi kawaone madaktari wakupime mfumo wa moyo kwanza. Ukipuuza ushauri huu unaweza usiwe na nafais ya kuuliza daima milele.
 
Achana na hayo madawa hayafai kabisa tena yanaharibu kabisa mfumo wa uzazi Mungu alioweka
 
fanya mazoezi kuweka mwili safi baada ya hapo utaona jinsi pump yako inavyofunguka hiyo ndiyo dawa
 
kiongozi take it easy...you will make it perfect. kwan unataka kumkomoa..self confidence is the most important thing broda..viagra :nono:
 
Mi naona wote wanakuzingua hakuna anayekupa msaada unaohitaji, tafuta kitu inaitwa ENZYO hiyo ni mwisho wa matatizo. Halafu usirudi kusema asante ndio utaona!!
 
kwani unapoishi akuna wamasai wana vodafasta zao unakula na karanga mbichi yani mzuka unapanda fasta tu
 


Mkuu kuna hii inaitwa STUD 100 ni nzuri na inafanya kazi vizuri,ila fata kama wadau walivyokushauri hapo juu kwamba madawa hayafai kabisa hasa yakikuzoea inakuwa tabu kidogo............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…