Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Dawa ya kusafisha tumbo na tumbo kujaa gesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuna vingapi mkuu mana huyu kama dawa haijapatikana tutamuokota keshoTafuna Vitunguu Swaumu..
Pia magnesium inasaidia
AhsanteMwambie ameze vitamin C kidonge kimoja kwa siku kwa ajili ya kupunguza tumbo kujaa gesi.
Wala usihangaike sana, nunua Bicarbonate Soda koroga nusu kijiko kwenye glass ya maji kunywa. Within a minute utakua sawa.Ahsante
Ahsante sana.acha tujaribu hiyoWala usihangaike sana, nunua Bicarbonate Soda koroga nusu kijiko kwenye glass ya maji kunywa. Within a minute utakua sawa.