Dawa ya TYPHOID hii hapa

Dawa ya TYPHOID hii hapa

mavuno nyamanoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
587
Reaction score
155
Menya vitunguu swaumu punje 5, ponda na changanya na maji ujazo wa birauli moja kunywa kutwa x3. kwa siku saba, safisha kinywa kwa maziwa fresh kutoaharufu mdomoni Angarizo tumi chombo ambacho si chuma. kitunguu swaum kikigusa chuma hugeuka kuwa sumu
 
ahsante nimemtumia ndugu yangu anasumbuliwa sana
 
Menya vitunguu swaumu punje 5, ponda na changanya na maji ujazo wa birauli moja kunywa kutwa x3. kwa siku saba, safisha kinywa kwa maziwa fresh kutoaharufu mdomoni Angarizo tumi chombo ambacho si chuma. kitunguu swaum kikigusa chuma hugeuka kuwa sumu

Samahani, hiyo dawa nitakuwa natengeneza kila muda ambao nataka kutumia au nikishatengeneza bilauri moja natakiwa niigawe mara tatu?
 
Back
Top Bottom