Dawa Ya Unene??

pihu

Senior Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
103
Reaction score
18
Hi,

Jamani leo nimekutwa na mstuko kuna dada nimekutana naye kwaajili ya kuchukua interview yake...u see there has to be a warm up session so that the candidate feels comfortable during the interview...

Kabla ya interview kwenye maongezi ya hapa an pale, nilistuka when that girl asked me about dawa ya kunenepa. i was dumb found, nilikuwa sijui nimjibu je coz mimi sijawahi kusiskia hiyo dawa!!!

Eti wanaJF is there any medicine like that? Je ni ya uhakika? embu umsaidie huyo mwanadada...naona yuko serious kutaka unene!!! tweh tweh tweh hahahaha inachekesha lakini............ya ukweli hayo
 
[(Kitimoto ( 2.5kg) + 2 Bieree ) x 3 times per day ] for 124 consequent days!
 
Sijakupa huyu ni mwembamba anataka kuwa mnene au ni mnene anatakakuwa mwembamba????
 
Reactions: Nzi

Mkuu kwanza hujaeleweka!! Hilo swali kama ungemwambia hufahamu kama kuna dawa ya aina hiyo kungekuwa na madhara yoyote kwenye interview hiyo? Mkuu kujibu hufahamu jambo fulani sio kwamba you are dumber than her; kusema hufahamu jambo fulani (ambalo kweli hufahamu uwa ni hekima zaidi kulikokujifanya unafahamu kumbe hufahamu).

Pili, pengine maongezi uliyokua unayafanya na huyo msichana yalikufanya uonekane the dumbest ndio maana akakuliza swali kama hilo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…