Dawa ya Usingizi.

zipo hospitali/duka la madawa nenda kaulizie mkuu
 
Dawa zipo nyingi ila ungeelezea unataka kutumia kwa lengo gani kwanza ili tujue tunakusaidiaje.

Maana sio kila unapohitaji kulala suluhisho liwe kunywa dawa ya usingizi.
 
yes kama walivyokushauri hapo juu,ni vema ukatujuza zaidi sio nzuri kuzitumia bila kujua sababu kwa nini hupati usingizi,kama ni mazingira ya kawaida jitahidi kuepuka vinywaji vyenye caffeine kabla ya kulala,kunywa maji mengi na bila kusahau mazoezi ni tiba muhimu mno,kimbia kuzunguka mitaa
 
OK, thanks xana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya mazoezi ya nguvu au kazi za nguvu .... kunywa uji wa moto baadaye utaniambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…