Dawa ya uvimbe kwenye koo ( polyp )

Dawa ya uvimbe kwenye koo ( polyp )

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,785
Habari. Naomba kujua kama naweza pata matibabu kwa dawa asili kwa uvimbe wa kwenye koo Polyp . Kwani hadi sasa nishafanyiwa operesheni mbili na uvimbe umerudi tena.
 
juzi kuna mama amefariki baada ya kufanyie oparation ya uvimbe kwenye koo
 
Habari. Naomba kujua kama naweza pata matibabu kwa dawa asili kwa uvimbe wa kwenye koo Polyp . Kwani hadi sasa nishafanyiwa operesheni mbili na uvimbe umerudi tena.
Hello pole sana ninaweza kukutibia na ukapona nitafute kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Back
Top Bottom