Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,785
juzi kuna mama amefariki baada ya kufanyie oparation ya uvimbe kwenye kooHabari. Naomba kujua kama naweza pata matibabu kwa dawa asili kwa uvimbe wa kwenye koo Polyp . Kwani hadi sasa nishafanyiwa operesheni mbili na uvimbe umerudi tena.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba jamaa nae atafariki?juzi kuna mama amefariki baada ya kufanyie oparation ya uvimbe kwenye koo
hapana ni kuwa asizembe atafute hospital kubwa kidogo maana hiyo huwa ni mara moja na si itakuwa ni goita au?Kwa lugha nyepesi ni kwamba jamaa nae atafariki?
Hello pole sana ninaweza kukutibia na ukapona nitafute kwa wakati wako.Habari. Naomba kujua kama naweza pata matibabu kwa dawa asili kwa uvimbe wa kwenye koo Polyp . Kwani hadi sasa nishafanyiwa operesheni mbili na uvimbe umerudi tena.