dawa ya vibarango vya usoni kwa watoto

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
hali zenu, kuna dogo hapa home katokewa na vibarango usoni na kila siku vinazidi kusambaa. dawa yake ni nini na chanzo ni nini? please MziziMkavu na dr. Riwa help. . .
 
Last edited by a moderator:
Ungelimpeleka kwanza Hospitali wakamtibu ikishindikana hajapona ndio waweza kuja hapa na kuulizia Dawa yake nini ? sasa hujampeleka hata Hospitali mkuu.@charminglad unakuja kuulizia dawa yake ni nini huyo mtoto mgonjwa? Samahani kama nitakukwaza.
 
asante kwa ushauri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…