Dawa ya vidonda kwa wenye kisukari

Dawa ya vidonda kwa wenye kisukari

george_made

Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
35
Reaction score
5
Wakuu niliwahi kusoma humu JF, kuwa kuna ndugu mmoja alikuwa anaelezea dawa ya vidonda kwa wenye kisukar. (of course hata na wasio na kisukar possibly, lakini siku hiyo alikuwa specific kwa ajili ya watu wenye kisukari). Dawa yenyewe inahusisha asali na vitu vingine sikumbuki. Naombeni kama kuna mtu ana link yake au yeye mwenyewe anijuze. Nina bb (nyanya) yangu kidonda kimegoma kupata nafuu
Natanguliza shukurani
 
Sasa huyo nyanya yako anacho kidonda hakiponi kwa sababu ya ugonjwa wa kisukari? Kwani huyo nyanya yako anao huo ugonjwa wa kisukari? Wewe unajuwa kuwa huyo nyanya yako anao huo ugonjwa wa kisukari? hebu nijibu hapo nitaweza kukupa dawa ya hicho kidonda cha nynaya yako. ısijekuwa ana kidonda cha maradhi ya Kensa? ameshakwenda hospitali kupima damu na kuangalia hicho kidonda kwanini hakiponi? Ninaomba jibu kwanza... george_made
 
Back
Top Bottom