Wakuu niliwahi kusoma humu JF, kuwa kuna ndugu mmoja alikuwa anaelezea dawa ya vidonda kwa wenye kisukar. (of course hata na wasio na kisukar possibly, lakini siku hiyo alikuwa specific kwa ajili ya watu wenye kisukari). Dawa yenyewe inahusisha asali na vitu vingine sikumbuki. Naombeni kama kuna mtu ana link yake au yeye mwenyewe anijuze. Nina bb (nyanya) yangu kidonda kimegoma kupata nafuu
Natanguliza shukurani