Max II Jr Member Joined Apr 15, 2017 Posts 13 Reaction score 7 Oct 24, 2017 #1 Kuna dawa ya vidonda vya Tumbo nimeisahau jina ...kidonge chake kipo kma codril ya mafua ila ya chenga. ...naomba msaada wa Jina la hyo dawa tafadhar
Kuna dawa ya vidonda vya Tumbo nimeisahau jina ...kidonge chake kipo kma codril ya mafua ila ya chenga. ...naomba msaada wa Jina la hyo dawa tafadhar
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,001 Reaction score 1,021 Oct 24, 2017 #2 Ni Omeprazole. Ni moja kati ya dawa zinazonisaidia sana kwa kiungulia (Hyper acidity)