Nafikiri Dunia ya hivi sasa ingepata viongozi wa imani ya Dini wenye mitazamo sawa na huyu Mexemed , Basi haya Matatizo ya vijana wetu ya
kujitoa mhanga ili kukamilisha lengo fulani yangekwisha kabisa!
Kabla ya kutazama hii video , sijaona kiongozi wa Imani akitoa nasaha zake kwa jinsi hii.!