Tetesi ya dawa ya gojwa sugu liualo watu takribani ni watu million moja duniani ipo njiani kukamilika.tetesi hizi zikitolewa Ajazeer kama kituo maalumu cha kulushia matangazo kimedai kuwa kuna hospital inayo andaa dawa maalumu ukiachana na dawa nyingine za kupunguza makali ya kirus hicho(ritrovirus) dawa hiyo iliyo tolewa ma wafungwa na wagonjwa baadhi kama majaribio imeonekama kuwaponyesha kwa asilimia fulani na kuleta hauen kwa wanasayansi hao