Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Ndio mana UTI zimezidi kwa wakina Dada kumbe mnawaingizia hizi mambo ili kujilithisha nyie wizara husika ilifanyie kazi ili jambo mnatutesa my Dr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo upepo ukitoka una madhara gani?
 
Picha ya vumbi plz,nafikiri Babu huwa anapaka
 
Mkuu mie ngoja niwe mkweli nishawahi tumiaga aisee kweli ni mti shamba from congo dusheee linasimama dede na unaweza usikojoe kabisa kichwa cha mb** kinakuwa full ganzi .hii haifai kwa mkeo ni adhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
without dawa nauwezo huo! kama kuna dem aamin anitafute
pili wew jamaa utatumia dawa mpaka lin siku ukikosa siuta kuwa shoga au ndo wake zenu tuna wa saidia kuwakaza
STAY UR ARE BRO


Sent using Jamii Forums mobile app
 
vumbi la kongo ni nomaaa, jamaa wa ofisini kwetu alikuja nalo na akaopoa demu, jamaa anadai alipiga bao 13 hadi asubuhi, ila cha moto alikiona kwani anadai njaa ilimuuma kama mtoto na kesho yake alishindwa kwenda job kwa uchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hapo hata hawalijui vumbi la kongo. Huyu hapa ndo anaonekana analijua hili vumbi kwa ufasaha. Kuhusu madhara nijuavyo mimi kama hauko fiti dushe linaweza lisiamke kabisaa. Vumbi sio jerk tena inapunguza urijali maana inapoteza kabisa hisia ili kupunguza ile hali ya kulimwaga haraka haraka. Sasa mwenzangu na mimi kama dushe lako hadi lipigwe hendeli ndo lishituke usijaribu kabisaaa utaumbuka. Hii inatufaa akina naniliu ukiona tu chupi imeanikwa kwenye kamba tayari dushe linaamka au ukiona tu bango limeandikwa Guest house yaani gesti huhitaji hendeli hapo hapo chuma chikoli mwoto
 
 
kumbuka haijathibitishwa na TBS, baada ya utamu ni majonzi ya madhara ya kiafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…