Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Hiyo kitu sio poa chief mm nilikuanayo nyingi tu ila kuna siku nilipaka nikaa muda mrefu kabla ya show, ilipofika muda wa mambo yetu haikua starehe tena bali ni adhabu maana nililala na mrembo siku tatu bila kupata ushindi wowote ule hadi nilikua naifeel michubuko.

Baada ya hapo nikaigawa kwa mwana na nyingine nikabakinayo kwa emergenc uses mana sio vyema kutoa silaha zote
 


Lile vumbi la Kongo linaua nguvu za kiume....ukishapiga bao la kwanza tu kulipata la pili inakuwa kazi na ndipo hapa wanaume tata wengi wa Dar wanaachana na mademu wanashikishwa ukuta kwa kwenda mbele.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] siopowa ila ukabaki nayo tena. Alafu ukagawa.... Sasa sibora ungetupa kabisa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] siopowa ila ukabaki nayo tena. Alafu ukagawa.... Sasa sibora ungetupa kabisa
Nitupe rasilimali muhimu hiyo acha ibaki kwa matumizi ya baadae
 
Keahyo ukifika kongo unazoa vumbi barabarani alafu unapakaa,ama kweli kongo wamebarikiwa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwabo na bulozi
 
kongo nasikia wanamadini sana, ndio maana udongo wa kongo umefaa kwa kazi hiyo, inawezekana sehemu zenye madini hapa kwetu, ukute udongo wake unaweza kusaidia pia.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hamna bwana sio udongo ni mizizi imekaushwa kisha inasagwa. Wenyew kule wanaitumia Mara nyingi kwenye KUTAILI. Unyagoni, pale vijana wanapo pelekwa msituni, sasa huo mzizi unasaidia kukata dam na maumivu pia. Nimekaa sana huko MATADI
 
Puturuu, Ukihitaji noone Pm, Hii inaitwa heshima ya ndoa

Bei nafuu
 
Wakuu tafadhali msaada wenu mahali ninapoweza kupata hili vumbi la kongo
 
Kweli wanaume wa dar mchuzi kabisaaa wamejazana hapa kila MTU anataka vumbi la Kongo shauri yenu mkishindwa kabisa kazi itabidi mgeukie upande wa pili
 
Hilo vumbi haliongezi utamu, bali hutia ganzi dushe, hupunguza utamu, na kufanya uchelewe, kufika mwisho wa mlima.
Ila mnahangaika tu, asali ni mwisho wa matatizo, kula asali, kijiko cha chakula, kimoja na nusu, asbuhi kabla ya kula chochote, na usiku, baada ya kumaliza milo yote.
Hii itakufanya ujisikie hali ya kutaka kupigana, na ukiingia ulingoni unakuwa na uwezi wa kupigana mda mrefu sana, bila kupoteza ladha ya papuch ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…