Dawa ya wachepukaji hiyo

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,455
Someni wenyewe tangazo hilo
 

Attachments

  • 1456396465045.jpg
    43.5 KB · Views: 178
watajuaje ni mume wa mtu.. labda kama ni kubwa sana
 
Duh..mbona kwa hasira hivyo?usikute doctor mkuu wa hiyo hospital ni mwanamke halafu mmewe ni kicheche kaona arahisishe kuwakamata wabaya wake.
 
ni utaratibu wa vituo vyote vya afya vya serikali.
 
Huyo daktari anataka kuiua hospital yake, atakosa wateja...ye anataka pesa ama anataka kujua mwenye mtoto?
 
Duh..mbona kwa hasira hivyo?usikute doctor mkuu wa hiyo hospital ni mwanamke halafu mmewe ni kicheche kaona arahisishe kuwakamata wabaya wake.
Mkuu mawazo yako hatari...Mimi nadhani wanafanya ivyo kuwabana wanaume waongozane clinic na wake zao,angalau nao wakapate ushauri kidogo juu ya malezi ya mimba,lishe ya mama,n.k!!Maana sio watu wote ni waelewa
 
Mh! Ila Poa tutakwenda msijali warembo endeleeni kutupa utamu.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…