Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kucheka sana badala ya kusikitika,kwenye mzunguko wa msimbazi kuna sista alikuwa anaongea na simu kwenye dirisha la daladala kijana akamvizia na kuikwapua akisema kwa sauti 'we sista vipi mbona unamaliza credit niache na mimi kidogo'.Hii haiwezi saidia. Mbona wezi watakupigia, na ukipokea tu, waikwapue?
Ndallo, nimeikuza picha ili iweze kuonekana vizuri. Hope that's ok!
View attachment 20003