Usiichukie, na je kama anapanga muda na siku ya kwenda kumegwa na rijamaa lenye miwaya? auoni kuwa hiyo technolojia itakuepusha na mauti ya lazima?Du...Sa hii itakuwa ni kuingilia privacy, hata kama ni mke wangu jamani!
Yaani napewa taarifa ya msiba wa baba mkwe(babaake) na yeye asikie live na kusababisha matatizo mapya tena?
Mi nimeichukia hii maneno bure!
Nilikuwa stand ya basi nikasikia jamaa wanaongea kuwa kuna uwezekano wa kuunganisha simu yako na ya mwenzi wako, ili kila atakachoongea kwenye simu yake na wewe usikie, nilivutiwa sana, lakini kwa bahati mbaya kabla hawajamaliza basi lao likafika wakaondoka,
Humu JF hakuna anayeijua hiyo teknolojia?
Usiichukie, na je kama anapanga muda na siku ya kwenda kumegwa na rijamaa lenye miwaya? auoni kuwa hiyo technolojia itakuepusha na mauti ya lazima?