Dawa ya warts au sunzua kwa wanao hitaji..

Dawa ya warts au sunzua kwa wanao hitaji..

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
Warts au sunzua ni ugonjwa ambao huwatoka watu wengi ingawa wengi hufanya siri sana sababu walio wengi huwatoka sehemu za siri awe mwanamke au mwanaume, ,na huwa kama kipele ambacho hakifi na huendelea kurefuka hata ukikitumbua bado kinaota tena na mara nyingi hukaribisha sunzua nyingi zaidi hasa ukiwa una zitumbua so kwa wale wenye tatizo hili wani pm tuone jinsiya kusaidiana kupata dawa inayo ondoa kabisa tatizo hilo
 
Back
Top Bottom