Dawa ya Wezi wa viatu na ndala misikitini na kwingineko

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Posts
1,371
Reaction score
251
jjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj.jpg
 
Attachments

  • jjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj.jpg
    jjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj.jpg
    19.6 KB · Views: 241
nimeshindwa kuiweka picha kamili lakini iko kwenye attached file hiyo wajimini

mnisamehe buree tuu ushamba huuu jamani
 
Nimeshindwa kuamini hili suala! Is it that serious kwa sababu ya kuzuia wizi wa kandambili?
Ufafanuzi tafadhali!
 
may be!!1ila dont u think hapo mtu hawezi iba ndala zako?atavaaje? i think ni kind of a joke
 
"Ulinzi" unapokuwa ghali kuliko kinacholindwa hapo kunakuwa na tatizo la "economic justification".Labda kama ndala ni artifacts fulani zenye historic significance au attachment ya kihivyo (e.g zilitembea kuunga mkono azimio lol, in which case they should be in a safe or museum anyway).
 
hahaha nimecheka mie....bei ya ndala wakuta 800 kufuli lacheza na alfu kadhaaa!
 
Hv hao wajomba wapo hai maana duh 2007 ndio nilikua nna miaka mi 4 sa sjui walikua wanachatia na simu gani Phillips au blackberry.....nahc hawa ndio wale ma blaza waliokua wakishinda internet cafe kutwa wakitudanganya wana chat na kina 50 cent
Hakika
 
Mwaka 2010 mwanzoni nilikitana na edo kumwembe kwenye internet cafe jirani na nilipokuwa nakaa jamaa alikuwa anatumia hata masaa ma5
 
Back
Top Bottom