Tunafanya huduma ya water proof maeneo yafatayo.
TOP ROOF( CONCRET) (paa la juu la zega)
HIDDEN ROOF (nyumba za kisasa)
WATER TANK (matanki ya maji)
tunatumia vifaa madhubuti kuhakikisha tunayadhibiti maji tunakuhakikishia hautoona tena nyumba kuvuja.